Tabora, Tanzania
Shule ya Bweni na Kutwa kwa Wavulana na Wasichana.
Tunatoa elimu bora kwa Kidato cha Kwanza hadi cha Sita chini ya malezi na nidhamu thabiti ya JWTZ.
K1 - K6
Ngazi ya Elimu
Mixed
Wavulana & Wasichana
13
Masomo ya O-Level
9
Michepuo ya A-Level
Kuhusu Shule
Malezi Bora na Elimu Inayojenga.
Unyanyembe High School ni taasisi ya elimu ya sekondari inayolenga kutoa elimu bora yenye kuunganisha taaluma, nidhamu, maadili na maendeleo ya mwanafunzi ili kuwaandaa vijana wenye uwezo wa kushindana kitaifa na kimataifa.
Dira (Vision)
Kuwa shule bora inayotambulika kwa ubora wa elimu, nidhamu, malezi na kuzalisha viongozi wenye maarifa, ujuzi na maadili mema.
Dhima (Mission)
Kutoa elimu bora na malezi yenye misingi ya nidhamu, uwajibikaji na ubunifu ili kuwaandaa wanafunzi kuwa viongozi na wataalamu wa kesho.
Mtaala wa Elimu
Masomo Yanayofundishwa
Kidato cha Kwanza – Nne (O-Level)
Historia ya Tz na Maadili
Business Studies
History
Geography
Kiswahili
English Lang
Lit in English
Physics
Chemistry
Biology
B/Keeping
Sports Studies
ICS
Kidato cha Tano – Sita (A-Level)
| Mchepuo | Masomo |
|---|---|
| HGK | Historia, Geography, Kiswahili |
| HGL | Historia, Geography, English Language |
| HKL | Historia, Kiswahili, English Language |
| HGE | Historia, Geography, Economics |
| EGM | Economics, Geography, Mathematics |
| CBG | Chemistry, Biology, Geography |
| PCM | Physics, Chemistry, Mathematics |
| PCB | Physics, Chemistry, Biology |
| PGM | Physics, Geography, Mathematics |
Matukio na Picha
Maisha ya Shuleni
Habari Mpya
Habari na Matukio


Mawasiliano na Mahali
Mahali Shule Ilipo
Barua Pepe
unyanyembe@unyanyembeschool.ac.tz unyanyembehighschool2@gmail.comSanduku la Posta
S.L.P 1309, Tabora